Song of Solomon 8:5


5 aNi nani huyu anayekuja kutoka nyikani
akimwegemea mpenzi wake?

Mpendwa

Nilikuamsha chini ya mtofaa,
huko mama yako alipotunga mimba yako,
huko yeye alipata utungu akakuzaa.
Copyright information for SwhKC